Mkenya Daima

/Tag:Mkenya Daima

AMANI! CUK YASHIRIKI KATIKA KAMPENI ZA KUENEZA UJUMBE WA AMANI NCHINI KENYA

Hayawi Hayawi huwa! Siku ya kujua mbivu na mbichi katika maswala ya uongozi wa nchi ya Kenya imekaribia. Hivyo basi, tarehe 22,7/2022 baraza la kutawala la  wanafunzi wa chuo kikuu cha Ushirika, (CUK) iliandaa kampeni  za amani ili kueneza ujumbe maalum wa umuhimu wa amani kabla na baada ya uchaguzi mkuu kufanyika. Rais wa baraza la wanafunzi wa CUK Bw. Collins pamoja na wanafunzi wenzake katika sherehe ya siku ya Amani chuoni CUK Hafla hii, ilikusudia  kuwaelimisha